Afya ni Hali ya kuhisi vizuri kimwili na kiakili, afya ni chachu ya maendeleo katika Kila sekta.
Tukianzia na madawa, ningependa kuona serikali inatoa kipaumbele Cha kwanza kwenye uagizaji wa dawa kutoka nje, iweke mipango madhubiti ya kukagua ubora wa madawa hayo, kabla hayajaingia nchini na...