Imepita zaidi ya miaka 6000 mpaka 6700 Baba WA wanadamu Nabii Adam na Mama wa Wanadamu Hawa kushushwa kwenye ulimwengu huu wa Dunia.
Hatimaye utafiti uliofanywa hivi majuzi wa kisayansi umetoa ushahidi wa kutosha kwamba wanadamu wote waliopo Ulimwenguni wana ukoo mmoja, ambapo inaonyesha...