Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo, ameunda kamati ya watu 15 inayoongozwa na Edda Tandi Lwoga wa Chuo cha Elimu ya Biashara-CBE ili kuchunguza biashara za rejareja zinazofanywa na wageni kinyume cha sheria, hasa katika soko la Kariakoo. Kamati hiyo itafanya kazi kwa siku 30 ili...