agoma

Agoma is a monotypic moth genus of the family Noctuidae erected by Sergius G. Kiriakoff in 1977. Its only species, Agoma trimenii, or Trimen's false tiger, was first described by Rudolf Felder in 1874. It is known from most countries of subtropical Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Shahidi wa mwajiri agoma kutokea kwenye hearing

    Habari wakuu wa sheria, nimekuja mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba msaada wa kishelia. Nitajitahidi kuifupisha kadri iwezekanapo lakini mtaelewa ninachoomba kutoka kwenu. Mimi nilikuwa ni mtumishi kwenye taasisi moja binafsi, nimefanya kazi kwa miaka zaidi ya ishirini kwenye hio taasisi. Hivi...
  2. K

    Baba agoma kumuozesha mwane kwa mahari ya laki tatu kisa ana degree

    Wakuu zengwe hili limetokea Leo hapa mtaani Binti kamaliza chuo anataka kuoelewa na mwanaachuo mwenzie Ambae ndio kwanza ananijitafuta. Baba amekataa kuonesha😂akidai ni dharau binti ameahidi kutoroka sijui itakuwaje Wazazi mahari ni sawa na kumuuza binti badilikeni
  3. T

    Mnyika agoma kujibu swali la Wasafi Media, walitaka athibitishe kama Mbowe ni muongo

    Kiukweli sijafirahishwa na kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA cha kushindwa kujibu maswali ya watangazaji na kujibu kwa jazba kila swali alilouluzwa na kwa maoni yangu maswali aliyouluzwa yalikuwa rahisi sana. Kwa mtu kama katibu mkuu wa chama sikutarajia azingue kizembe kama vile!
  4. Huyu Mkurugenzi aliyegoma kununua gari la Milioni 186 na kuamua kuwanunulia watendaji pikipiki 19 atuambie Chenji amepeleka wapi?

    Wakuu, Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu. Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Ifakara, Zahara Michuzi Katika hali isiyoezeleka Mkurugenzi huyu amekataa...
  5. Mkuu wa Wilaya agoma kuingia kikaoni baada ya Wimbo wa Taifa kuanza akiwa nje

    Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia. Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni...
  6. 'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari yapatayo 10, ilitokea tarehe 11 mwezi uliopita na kusababisha uharibifu wa magari kadhaa yakiwamo ya...
  7. Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

    Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi . Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi . Nabii wa Mungu Godblesa Lema...
  8. Mzungu ataka uraia wa Tanzania, agoma kurudi kwao

    Hakuna binadamu anaependa Vita wala kubebeshwa silaha, huyu kijana toka Uingereza ameamua kuukana Uraia wake na kumuomba Rais Samia ampatie Uraia wa Tanzania. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  9. Odinga agoma kustaafu, asema kugombea tena 2027

    KIONGOZI wa Chama cha Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amefichua kuwa bado hajajiandaa kujiondoa katika ulingo wa kisiasa na kwamba hatostaafu. Raila mwenye umri wa miaka 78 alidokeza kujaribu bahati yake katika kiti cha urais kwa mara ya sita katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. "Siko tayari...
  10. Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha

    Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imeanza mchakato wa kufungua shauri la nidhamu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga baada ya kutorejea katika kituo chake cha kazi tangu alipotakiwa kufanya hivyo Oktoba Mosi mwaka huu. Maganga ambaye cheo chake ni Mwalimu...
  11. Baba wa Mapacha waliochunwa ngozi ya uso, kukatwa Ulimi na kutolewa macho agoma kuzika miili

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian amesema baada ya mazungumzo ya muda mrefu, Isaka Rafael ambaye ni Baba wa Watoto Mapacha waliofariki katika Kituo cha Afya Kaliua na kuzua taharuki baada ya pacha mmoja kuondolewa na jicho na ngozi ya paji la uso macho, amekubali kushirikiana na...
  12. Rais Museveni agoma kusaini Muswada wa sheria unaopinga Ushoga uliopitishwa na Bunge akitaka ufanyiwe marekebisho

    President Yoweri Museveni of Uganda has refused to sign into law a controversial new bill against homosexuality that prescribes the death penalty in some cases, requesting that it should be amended. Museveni’s decision was announced late on Thursday after a meeting of parliamentarians in his...
  13. Mjue ‘Yesu wa Tongaren’ anayeogopa kusulubishwa na kukimbilia kujisalimisha Polisi

    Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu. Kenya. Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’amelazimika kwenda kutoa taarifa polisi ili kuokoa uhai wake baada ya...
  14. Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, agoma kukabidhi Ofisi kwa Sheikh Walid

    Pamoja na kwamba Uteuzi wake ulitenguliwa, ameendelea kufanya kazi ndani ya Ofisi. Katibu wa Baraza la Mashehe wa Dar es Salaam Shekh Ally Kizegero aitisha kikao kinyume cha Utaratibu Nia ni kuwagawa Mashehe wa Dar. Kitendo kinachofanya na Elhad inadaiwa ni Uhaini ==== Aliyekua Sheikh wa...
  15. VIDEO: Dereva wa Mwendokasi agoma kuendesha bus akidai katukanwa

  16. Kenya 2022 Raila Odinga agoma kushiriki hafla ya IEBC kutangaza matokeo ya Urais kabla hajayaona na kujiridhisha

    Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto ameshawasili zaidi ya saa moja iliyopita, hali ni tofauti kwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga ambaye...
  17. Nigeria: Msanii agoma kumsapoti mwanasiasa kwenye kampeni ili heshima yake kwa kila mtu ibaki palepale

    Msanii maarufu nchini Nigeria na mchezaji wa filamu Nollyhood amekataa kiasi cha Naira 10,000,000 sawa na shillingi 54,935,758.91 za Tanzania ili kumsapoti mwanasiasa anayefanya kampeni, mwanasiasa huyo aliona akimtumia huyo msanii kwenye kampeni atapata wanachama wengi na kura zitaongezeka, ila...
  18. Hakimu kesi ya Mfalme Zumaridi agoma kujitoa katika kesi hiyo

    Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza, Monica Ndyekobora anayeendesha kesi ya jina inayomkabili Diana Bundala maarufu ‘Mfalme Zumaridi’ amegoma kujitoa katika kesi hiyo kwa maelezo kuwa maombi ya mshtakiwa huyo anayetaka ajitoe hayana mashiko. Hakimu Ndyekobora ametoa uamuzi huo...
  19. Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

    VIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo. Simba imepoteza mataji yake yote mawili la Ligi Kuu Bara ambalo walilitwaa kwa mara nne mfululizo pamoja na taji la Kombe la Shirikisho la Azam...
  20. Idris Gueye agoma kuomba radhi kwa kutokuunga mkono LGBTQ+

    𝗜𝗱𝗿𝗶𝘀𝘀𝗮 𝗚𝘂𝗲𝘆𝗲 ni mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu ya Paris Saint Germain (PSG) aliyekataa kuvaa jezi ya timu yake ambayo kwa upande wa namba ilikuwa imeandikwa rangi zenye kuashiria mahusiano haramu ya jinsia moja na watu waliobadili jinsia kwa pamoja wanajitambulisha kama LGBT+. Hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…