Tatizo la wanasiasa kurudia ahadi zilezile kila kipindi cha kampeni ni kiashiria cha mfumo wa siasa ambao haujalenga kutatua matatizo ya wananchi, bali kudhibiti mamlaka na kulinda maslahi binafsi ya viongozi. Hii ni hali inayojitokeza sana katika nchi za Dunia ya Tatu, ikiwemo Tanzania, ambapo...