ahadi ya ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi ni kweli kuvunja ahadi ya kuoa au kuolewa ni kosa kisheria ikiwa itathibitika ahadi iliwekwa mtu akiwa na umri wa miaka 18 au zaidi?

    Kuvunja ahadi ya kuoa au kuolewa ni kosa linaloweza kuchukuliwa hatua chini ya kifungu cha 69 na 70 cha Sheria ya Ndoa (Sura ya 29 R.E 2019). Ikiwa mlalamikaji atathibitisha kuwa aliyekiuka ahadi alikuwa na umri wa miaka 18 au zaidi wakati alipoweka ahadi hiyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…