ahadi

Ahadi is an Iranian surname. Notable people with the surname include:

Ahadi (The Lion King), a character from the fictive world of The Lion King
Mina Ahadi, Iranian Communist political activist
Reza Ahadi, Iranian footballer

View More On Wikipedia.org
  1. Waarabu wapigane na Israel kivitendo sio kutoa ahadi ya kujenga pekee pale palipovunjwa.

    Hapo majuzi nchi tano za kiarabu ziliahidi kusimamia mpango wa kuijenga Gaza kwa gharama ya dola bilioni 53.Ni jambo zuri sana lakini ni maamuzi ya kizembe sana. Wakati ahadi hiyo ikitolewa ilishapita wiiki 2 Israel ikiwa imezuia mahitaji yote kuingia Gaza tena katka mwezi mtukufu wa...
  2. Amkemi Watanzania: Kina Tundu Lissu na Makelele ya Katiba Mpya Hayawezi Kutuokoa – China Imetoa Mwongozo wa Namna ya Kufikia "Nchi ya Ahadi"

    Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
  3. Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

    [emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa. Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa...
  4. Hii ndio ahadi yangu mke wangu siku nikikupata.

    Sitaki kuamini kama nitakua na picha na video za utupu za mke wangu kwaajiri ya kujiselfisher akiwa mbali 😁😂😂 Au ukiwa baba upwiru hupungua ? nahaidi kutokuichoka K aka Papuchi ya mke wangu, siku zote za mahusiano yetu sitachepuka nitakua mwaminifu, Nina uzoefu wa kutosha kama niliweza kua...
  5. Pre GE2025 Halmashauri Singida waidai ahadi ya Dkt. Nchimbi kuwajengea soko la vituguu

    Halmashauri ya Wilaya ya Singida imekumbushia ahadi ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi ya kujengewa soko la vitunguu ambalo litasaidia kuongeza mapato ya halmashauri ambapo imeiomba serikali kutoa Sh.bilioni 2 ili kufanikisha ujenzi wa soko hilo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya...
  6. Mashabiki wa Yanga msivuke mipaka mnapotoa ahadi kuhusu mechi za Simba

    Komeo Lachuma, Minjingu Jingu, Labani og, Medecin
  7. Ahadi zinazotolewa hapa hata wanasiasa wakasome!

    Ebu tiririka uongo unaondondoshwa hapo! 😄😀
  8. M

    Kwa mliokuwa mashabiki wa propaganda za Trump, yamebaki masaa machache ya yeye kutimiza ahadi ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
  9. Shabiki wa Yanga (mwalimu Yanga) ataka kuikana ahadi aliyoitoa iwapo Simba ikiingia robo fainali CAFCC

    Alitaka kujizima data, apata kigugumizi. Ni fundisho kwa watoa ahadi wa humu JF akina Pdidy, Labani og, Minjingu Jingu, Chief Godlove, Gunner Shooter
  10. M

    Kuna chawa mmoja wa mwamba aliyepewa mgao wa asali alinunua alphadi pamoja na ahadi aliyopewa ya kugombea ubunge kigamboni

    Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024; Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti. Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba. Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo...
  11. Ahadi hewa zilizotolewa na Viongozi wa CCM kwa mwaka wa fedha 2024

    1. Ahadi ya Kwanza ilikuwa ni Ikifika July 2024, manunuzi ya luku yatakuwa automated yaani ukinunua umeme hutokuwa na haja ya kuingiza token……zitaingia directly to your meter device Hapa tulipigwa changa na utapeli 2. Umeme kukatika mwisho ilikuwa October 2024 kama alivyoahidi Mzee Doto...
  12. Mbunge Twaha Mpembenwe: Nimekuja Kutatua Kero na Kutimiza Ahadi

    Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Mpembenwe ameongozana na Diwani wa Kata ya Kibiti, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kibiti na Sekretarieti ya CCM kufanya mkutano na kutatua changamoto za Wananchi wa Kata ya Kibiti. "Nilifanya Ziara ya Kusikiliza Kero na Changamoto za Wananchi...
  13. Je,Taifa la Israel limeshatimiziwa ahadi na Mungu wa Yakobo?

    Sijatambua ni mungu wa aina gani ambaye anaabudiwa na wanawaisrael sababu kubwa ni kwamba. Kipindi yakobo anatokewa na Mungu beer sheba kama sikosei aliweka jiwe la agano,je hatuoni kiwa kinachoabudiwa ni mizimu ya Israeli?kama tunavyotambua kiwa Mungu ni nguvu na ipo kila mahala inakuwaje lile...
  14. Muhimu sana: Tujikumbushe Ahadi ya Freeman Mbowe kung'atuka 2023

    My Take. Ni vizuri Mbowe akatekeleza hivi ahadi yake, otherwise atuambie kama haitekeleziki na kwa nini?
  15. M

    Ruvuma: Wananchi wa Kata ya Kilagano tunaendea kulima kwenye Hifadhi ya Mlima Lihanje sababu ahadi ya DC ya kutuhamisha imekuwa ‘ahadi hewa’

    Hifadhi ya Mlima Lihanje ni chanzo pia cha maji kwa Wakazi Kata ya Kilagano, Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Pamoja na faida hiyo kuna uharibifu unaoendelea wa kuendesha shughuli za kilimo katika Mlima huo. Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile alipotembelea eneo hilo Desemba Mwaka...
  16. Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  17. LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
  18. LGE2024 Chama cha NLD chatoa ahadi ya kushughulikia changamoto za migogoro ya ardhi wilayani Handeni

    Wagombea nafasi ya Uenyekiti kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa Chama cha National League of Democracy (NLD) wamebainisha kuwa zipo kero ambazo watakwenda kuzifanyia kazi kwa maslahi ya wananchi kwani ni za muda mrefu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mkutano wao wa hadhara ikiwa ni...
  19. Ngoja tusubirie Utekelezaji Uliotukuka kwa hii Ahadi Iliyotukuka

    Kumekucha Ligi Kuu Bara, afisa habari wa Singida Black Stars Hussein Massanza ameahidi kuvaa wigi la afisa habari wa Tabora United Christina Mwagala, endapo timu hiyo ya mkoani Tabora itashinda kwenye uwanja wake wa nyumbani Ali Hassan Mwinyi, Jumapili (Novemba 24). Chanzo: mwanaspoti_tz...
  20. Oparesheni Ahadi ya 3 ya Iran (Operation True Promise 3) imefia wapi?

    Tulisikia sana, na wababe wa Tanzania wakaimba Mazayuni watajuta. Anga likafungwa tarehe 4 hadi 6 Novemba 2024 tukajua ahadi ya 3 ya ukweli imewadia. Nauliza, hii oparasheni tuliyoingojea kwa hamu kuwaadhibu mazayuni imefia wapi? Au Iran karidhika na majibu ya mazayuni au wanasubiri Turampu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…