NB: Uzi ni mrefu, kinoma 👽
Uchumi wa dunia umekuwa ukidorora kwa miezi (Kama sio kwa miaka) kadhaa sasa, na mdororo huo umeathiri pia thamani ya cryptocurrencies kwa kiwango cha kutisha. Watu wamepoteza mabilioni ndani ya muda mfupi, kiasi ambacho wengine wamechukua maamuzi magumu ya kujiondoa...