Kuna kisa kimoja cha Ahmed Chalabi, nadhani mnamkumbuka sana huyu bwana, alikuwa mpinzani mkubwa sana wa Saddam Hussein
Kwanza tumfahamu huyu mtu hatari kuwahi kutokea kwenye siasa na ujasusi huko mashariki ya kati.
Jina lake kamili aliitwa Ahmed Abdel Hadi Chalabi, alizaliwa tarehe 30 October...