Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe
"Ahmed Ally anaomba usiku na mchana kocha wetu afukuzwe. Tangu jana nimemuona akifanya Media Tour kwenye vyombo mbalimbali vya habari, lakini yeye ndiye anayetakiwa afukuzwe kwenye mpira wetu."
"Mmesahau miaka miwili iliyopita aliwahi kupost kwenye ukurasa wake wa...