Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuwa miongoni mwa waamuzi watakaosimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Pyramids FC ya Misri na FC FAR ya Morocco.
Soma: Arajiga, Komba wachaguliwa kuchezesha CHAN 2025...
Takwimu zinaibeba Yanga, mechi za derby za mwisho alizochezeha Ahmed Arajiga
Mwamuzi Ahmed Arajiga amechezesha michezo minne ya derby kati ya Yanga na Simba, ambapo Yanga wameshinda mechi tatu na moja Simba.
Hizi ni takwimu za matokeo ya michezo aliyochezesha Arajiga:
Yanga 2-1 Simba...
Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8.
Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
Arajiga ni mwamzi Bora kabisa katika nchi yetu tukubali tukatae, akiamua mchezo kila mpenda mpira Huwa anaridhika kabisa na kuona haki imetendeka
Arajiga msimu huu pekee amechezesha mechi za Yanga 6 Yanga lakini hajapewa mchezo wowote wa Simba auamuwe.
Simba wamekuwa walipewa waamzi...
Marefa wawili wa Tanzania, Frank Komba na Ahmed Arajiga, wamechaguliwa miongoni mwa marefa 65 watakaosimamia mechi za Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2025 zitakazofanyika Kenya, Uganda, na Tanzania kuanzia Februari 1 hadi 28, 2025.
Ahmed Arajiga
Arajiga...