TAAZIA: MJA WA KHERI SHEIKH SALIM BIN AHMED BAJABER
Nimepata taarifa hii leo mchana kuwa Mzee Salim Ahmed Taib Bajaber Mkurugenzi Mkuu wa Pembe Flour Mills (PFM) amefariki Mombasa na kazikwa Markaz Madina, Amkeni Kikambala.
Nilimfahamu Mzee Salim mwanzoni mwaka wa 2004 yeye na wakurugenzi...