SIKU MOJA NA AHMED RAJAB MWALIMU WANGU NAIROBI
Ahmed Rajab akinipa kazi si haba nyingine ''investigative'' na hapa akitaka sana kusoma ubongo wangu na fikra zangu kwa jambo fulani hizo hazichapwi na jina si lake wala langu kwa hiyo hutoziona popote na akinilipa fedha.
Makala hizi hazina...
KUMBUKUMBU YANGU NIKIANGALIA MAZIKO YA AHMED RAJAB
Allah ana shani yake.
Naangalia hii clip ya maziko ya Ahmed Rajab na imenirejesha nyuma na kunikumbusha mengi.
Namuona hapo Talal mwanae marehemu sasa kijana.
Nakumbuka siku moja asubuhi nimetoka kwangu Finsbury Park hadi Oakwood nyumbani kwa...
Ahmed Rajab na Rais Mstaafu Jenerali Ibrahim Babangida
KAMA kuna mtawala wa kijeshi aliyewaweza Wanigeria basi alikuwa Ibrahim Badamasi Babangida (IBB) au “Maradona”, kwa umaarufu wake wa mitaani. Si bure kwamba alibandikwa lakabu hiyo ya jina la mchezaji soka maarufu wa zamani wa Argentina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.