ahoua jean

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Simba Sc tumemsajili kiungo wa Ivory Coast, Ahoua Jean

    Klabu ya Simba tumethibitisha kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast 🇨🇮 kwa mkataba wa miaka miwili. Ahoua mwenye umri wa miaka 22 amesajiliwa kutoka klabu ya Stella Club d’Adjamé ya nchini kwao Ivory Coast. Katika msimu wa 2023/24 Ahoua ameibuka mchezaji...
Back
Top Bottom