ahsante

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Ahsante Mungu, Arab Contractors walikuja kipindi Cha JPM; Wangekuja kipindi Cha Samia hakika ingekuwa shida kubwa.

    Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,.... Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia............. Nchi inauzwa hii.................... 2025 arudi kwao kizimkazi atuachie Tanganyika yetu.............. R.I.P JPM......n.k Ahsante sana Mungu, hakika...
  2. Realmamy ahsante kwa hii dinner date. Nimeenjoy sana stori na wewe

    realMamy . Picha bora sana hii tuliopiga ngoja niweke status. PSL god min -me Poor Brain achenni mazoea na mammii
  3. Ahsante Mungu ndoto yangu imetimia.

    Ahsante Mungu ndoto yangu imetimia. Nilianza kujiwekea akiba tangu mwaka 2018 na leo ndoto yangu imetimia kwani nimefanikiwa kununua kamera ndogo iliyopiga picha gari hii.๐Ÿ™๐Ÿ™
  4. Mama mwenye watoto mapacha walioungana kifua, amshukuru Rais Samia kwa kumgharamia matibabu

    AHSANTE RAIS SAMIA Huyu ni Hadija Shaban Omar, mama mwenye watoto mapacha walioungana kifua, tumbo na nyonga wenye umri wa miaka Mitatu anapenda kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumgharamia kipindi cha miaka mwaka mmoja wallivyokuwa wanapata...
  5. Ahsante. Nani Angeamini Historia Niielezayo Kama Nisingeonyesha Ushahidi wa Picha?

    Yuko ambae anaweza kuniambia kuwa kauli yangu peke yake ingetosha na angeniamini bila ya ushahidi wa picha?
  6. Nilijikuta napendwa sana kisa kusema ahsante kila ninunuapo bidhaa kwake

    Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane. Niliwahi pendwa sana na muuza duka jinsia ya kike asee kisa na mkasa nilikuwa na tabia ya kusema ahsante sana kila anapo nihudumia. Ni umri wa makamo kiasi kwamba anaweza kuwa mama bila shaka kabisa. Huyu maza alinielewa sana akaona isiwe...
  7. MSIDNGANYIKE MKIUZA KIWANJA AMA NYUM.BA SERKL ZA MITAA HAPEWI KITU UNLESS N UTASHI WAKO KUSEMA AHSANTE

    Wiki iliyopita, Bunju kulikuwa kuna kiwanja cha jamaa kinauzwa, na mimi nilikuwa mmoja wa mashahidi. Gafla, serkali za mitaa zilianza kutaka kuulizia kiwanja kinauzwa shilingi ngapi. Mnunuzi akamwambia hiyo ni makubaliano yangu na anayeniuziya. Mwenyekiti akakataa kutoa ushirikiano mpaka ajue...
  8. D

    Ahsante Rais kuwarudisha Palamagamba Kabudi na William Lukuvi: Luhaga Mpina ana la kujifunza

    Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
  9. D

    Ahsante ahsante Rais wetu, ahsante Doroth Gwajima; tunajivunia serikali yetu

    Jana nilitoa taarifa ya ukatili kwa mwanafunzi wa shule ya msingi Kitefu mkoa wa Arusha. Najivunia serikali yangu mmechukua hatua, mbarrikiwe. Ila huyu mwalimu mkuu mumchunguze anatafuta aliyetoa taarifa. Hongera Max, hongera waziri, hongera mh. Rais wetu, haki itendeke
  10. Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Wasaalam. Nawashukuru watanzania wote kwa ufuatiliaji wa wasilisho la bajeti ya wizara ya jamii 2024/25. Namshukuru Mungu kwamba, mjadala mkubwa wakati wa uwasilishaji, ni ishara ya elimu kuifikia jamii kwa kina kuhusu kupambana na kutokomeza ukatili wa kijinsia na kudhibiti mmomonyoko wa...
  11. Bwawa la Mwalimu Nyerere Ahsante magufuli

  12. D

    Ahsante Rais Samia na Ahsante pia Bollen Ngetti

    Wanajamvi, Jana Kuna taarifa zilisambaa sana za kumtaka Rais Samia kutumia birthday yake Kumsaidia kada wa chama chake Thadei Ole Mushi aliyesimama moyo kufanya kazi. Taarifa hizi zilisambazwa na kada wao Bollen Ngetti Mwandishi nguli za Uchunguzi hapa nchini. Hata humu taarifa hizo zilifika...
  13. Makonda, nilimwomba Mungu sana kwa ajili yako, ahsante Mungu umesikia

    Mungu umejibu maombi, mtumishi wake Makonda umemkumbuka tena, Katika tumbo la samaki alimokuwa umetoka na maono na upako Mpya kuna kitu ndani yake kwa ajili ya wa Tanzania naamini muda uliompa kujitafakari anarudi na upako Mpya kuleta matumaini kwa wanaCCM wengi ambao walikuwa wamekunjana mioyo...
  14. Ahsante IGP Wambura kauli yako imeturudishia utulivu kwa haraka sana

    Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni. Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa hohehahe, kila mmoja na lake, mitandaoni, hususan sii wa hapa JF, tulikuwa badala ya kupingana kwa hoja...
  15. M

    SoC03 Baada ya ahsante kuisha, tuboreshe!

    Ahsante kocha Nabi! Ahsante Bernard Morrison! Ahsante Jonas Mkude! Ahsante Kali Ongala! Ahsante Abdallah Shaibu! Ahsante Erasto Nyoni! Ahsante Cleophace Mkandala! Ahsante Dickson Ambundo! Ahsante Beno Kakolanya! Ahsante Nelson Okwa! Ahsante Agrey Moris! Ahsante Mahamoud Mroville! Ahsante Bruce...
  16. Ahsante Vodacom nawaombea kwa Mungu

    Salamu ni utumwa Nitoe pongezi kwa Viongozi wa Vodacom kwa hisani hii ninayoipata kila wiki bure kabisa ikiwa inaelekea mwaka sasa. Mungu awabariki sana๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰
  17. Member Mpya

    Hi.Naitwa sadiki salumu a.k.a Exuberant Boe.Ni mwanajamii forums mpya ahsante.
  18. W

    'Toa hela' na 'Niko bize' zinavyogusa maisha yangu! Ahsante sana Jaffarai

    Sijui yuko wapi sasa huyu mwamba? Kila alichokisema katika nyimbo zake hizo mbili ninakabiliana navyo kila siku na kuvishuhudia; -masjala file lako litaonekana tu kama utawapoza kidogo wale ps, la sivyo utaona linatafutwa kila siku. -mpe mwalimu pesa uone mtoto anavyofuatiliwa na matokeo yote...
  19. K

    TUCTA: Miaka miwili ya Rais Samia ameonyesha kuthamini wafanyakazi

    SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema katika miaka miwili ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan amewafanyia mengi wafanyakazi ikiwa ni pamoja na kuongeza mishahara watumishi wa kima cha chini kwa asilimia 23.3. Katibu Mkuu wa Tucta, Hery Mkunda alisema hayo mjini...
  20. M

    Ahsante Simba kwa kushiriki ligi ya Mabingwa

    Mechi za ushindi Kwa timu ya Simba zimemalizika rasmi Leo Kwa ushindi mnono dhidi ya vipers. Mechi hivyo imeifanya Simba kuwa nafasi ya pili Kwa alama sita nyuma ya vinara Raja club athletic. Timu ya Simba inachuana vikali na Horoya katika nafasi ya pili hivyo yeyote kati Yao atafuzu. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ