Kuhusu Historia iliyowahi kutokea hapo zamani iitwayo Ottoman empire/Osman, nilikuja na ombi la kuongezewa muda sisi kama wadau na wafuatiliaji wa tamthilia hii inayopendwa, inayosisimua na kufuatiliwa na watu wengi.
Sina budi kuwashukuru Azam tv, kwa kulifanyia kazi ombi langu, si mimi tu...