Wakuu,
Hebu achaneni kwanza na wasemao huwezi kujikwamua kwenye ajira, maana hayo ni maneno ya Motivation speakers tu. Hii ni kwasababu kazini kukiwa na maslahi mazuri, obvious utakuwa na ahueni kiuchumi.
Sasa turudi kwenye mada: Kama kichwa cha thread kinavyosema, hiyo ndo hali halisi huko...
Angalia ni nini kilikuwa kikwako kwako 2023 kabla hujaanza kuota ndoto za abunuasi 2024.
• Je, ulevi ndio ulikuwa kikwazo?
• Uzinzi?
• Kutokuaminika?
• Kukosa elimu na sifa za kuajiriwa?
• Kutoa sadaka kipumbavu?
Maana kuna watu hutoa mpaka sehemu waliyopaswa kutumia wao kwa upumbavu wao...
Utawala Bora ni namna ya kutumia madaraka ya umma katika kutawala rasilimali kwa njia zilizo sahihi ili kukuza uchumi wa nchi.utawala Bora hujumuisha ukweli uwazi uwajibikaji na ushirikishwaji katika utoaji wa maamuzi.
Ili nchi au taifa lolote liweze kupata maendeleo utawala Bora unahitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.