ahueni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. INAFIKIRISHA: Ukiwa Muadilifu, Mchapakazi na Muungwana kazini unakuwa fukara; Ukiwa Mjanja mjanja, Mvivu na Mpiga madili unakuwa na ahueni Kiuchumi

    Wakuu, Hebu achaneni kwanza na wasemao huwezi kujikwamua kwenye ajira, maana hayo ni maneno ya Motivation speakers tu. Hii ni kwasababu kazini kukiwa na maslahi mazuri, obvious utakuwa na ahueni kiuchumi. Sasa turudi kwenye mada: Kama kichwa cha thread kinavyosema, hiyo ndo hali halisi huko...
  2. Kuna watu wanadhani 2024 watapata ahueni. Ni namba tu zimebadilika. Kama hujabadilika msoto uko palepale

    Angalia ni nini kilikuwa kikwako kwako 2023 kabla hujaanza kuota ndoto za abunuasi 2024. • Je, ulevi ndio ulikuwa kikwazo? • Uzinzi? • Kutokuaminika? • Kukosa elimu na sifa za kuajiriwa? • Kutoa sadaka kipumbavu? Maana kuna watu hutoa mpaka sehemu waliyopaswa kutumia wao kwa upumbavu wao...
  3. J

    SoC03 Utawala Bora ahueni kwa jamii

    Utawala Bora ni namna ya kutumia madaraka ya umma katika kutawala rasilimali kwa njia zilizo sahihi ili kukuza uchumi wa nchi.utawala Bora hujumuisha ukweli uwazi uwajibikaji na ushirikishwaji katika utoaji wa maamuzi. Ili nchi au taifa lolote liweze kupata maendeleo utawala Bora unahitajika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…