a.i

I, or i, is the ninth letter and the third vowel letter of the Latin alphabet, used in the modern English alphabet, the alphabets of other western European languages and others worldwide. Its name in English is i (pronounced ), plural ies.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuchwizzy

    Create Your Own Neural Network From The Scratch (A.I - 101)

    Wazee wazee Kwanza nianze kwa kukiri kuwa sina kawaida ya kumalizia nyuzi ninazozianzisha kama ambavyo lecturers wengine wa JF walivyo pia Sababu kubwa huwa ni mbili, kukosa interest au kutingwa na kazi, na mda mwingine unakosa wale sophisticated audiences unaowatarajia kulingana na topic...
  2. Mhaya

    Mrembo aliyetengenezwa na A.I asumbua vichwa vya wanaume kwenye mitandao ya kijamii

    Mrembo mmoja wa Instagram ameyashika macho ya wacheza mpira wa miguu maarufu, mastaa pamoja na mabilionea, lakini yote si kama unavyoweza kudhania. @emilypellegrini amejikusanyia followers zaidi ya laki mbili kwenye Instagram ndani ya miezi minne tu. Ingawa picha na video zake zinaonekana kuwa...
  3. Gautten Potten

    Popo ni zaid ya Roboti za AI huko mikoa ya Kusini

    Wanaofanikiwa duniani sio wenye akili na nia pekee, wenzio wana miungu yao. Wewe una Mungu gani? Kusini unaweza ukawa na juhudi ila ukaishia kufanikisha wenzio ambao hawaangalii. Kuna uchawi wa kijinga sana. Mkasa unaanza paragraph ya pili niskize nikupe Issue. Katika Pekua Pekua za Mzee...
Back
Top Bottom