ai kuchora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalili za kupotea kwa sanaa ya uchoraji kutokana na matumizi ya IA (Artificial Intelligence)

    Matumizi ya AI yameshika kasi, uwezo wa program hizi kutengeneza picha kutokana na maono au mawazo ya mtumiaji, kumeongeza wimbi kubwa la picha hizo zikitumika katika maeneo tofauti. Wasi wasi wangu ni kwamba itafika wakati hakutokuwa na haja ya kuwa na wachoraji wa picha, kwasababu program...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…