Hii ni baraa
Bi Chege, alisema alinyang’anywa simu aina ya iphone 14 mnamo Juni 8, 2023 kufuatia vurugu zilizozuka katika bunge la kitaifa.
Akizungumza eneo la Meru, mbunge mwakilishi huyo wa wanawake zamani Murang’a, alimrai Naibu Rais Rigathi Gachagua kuingilia kati kumsaidia kupata simu...