New York, Januari 8, 2025 – Kampuni ya Thomson Reuters Founders Share leo imetangaza uteuzi wa Aidan Eyakuze kuwa Mjumbe wa Bodi yake ya Wakurugenzi, kuanzia tarehe 31 Desemba 2024.
Kampuni ya Thomson Reuters Founders Share inafanya kazi kama mlezi wa Misingi ya Uaminifu ya Thomson Reuters...
Ushirikiano wa Serikali ya Wazi (OGP) unafuraha kubwa kutangaza uteuzi wa Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Afrika Mashariki, kama Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa OGP. Eyakuze analeta uzoefu mkubwa katika masuala ya Serikali wazi, Uwazi, na Ushirikishwaji wa Wananchi barani Afrika na...
Aidan Eyakuze anaondoka Twaweza East Africa ambapo aliku Mkurugenzi Mtendaji baada ya takribani muongo mmoja wa uongozi wa maono. Aidan anatarajia kujiunga na Ushirikiano wa Serikali Wazi (OGP) katikati ya mwezi Machi 2025.
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza East Africa, Aidan Eyakuze...
Leo Juni 19, 2023, Taasisi ya The Chanzo imeandaa tukio lilipewa jina la #TheChanzoSpecials, ambapo kunatarajiwa kuwa na mijadala mbalimbali itakayowakutanisha Wadau tofautitofauti.
Tukio hili linalenga kujadili masuala matatu muhimu, kwanza tufanye nini ili kujenga tamaduni ya uwajibikaji...
Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya fedha kwa walimu kulingana na utendaji (au malipo ya ufaulu) yanaweza kuchangia kuboresha stadi za...
Sweden imekuwa ikisemwa vibaya kwa kujaribu kufuata kinga ya kundi "Herd Immunity" katika mapamabano dhidi ya COVID-19 na kulipa gharama ya vifo vingi zaidi. Uingereza ilijaribu kufuata mlengo huu kwa kipindi kifupi na kuuacha baada ya ongezeko kubwa la idadi za vifo vilivyotegemewa pamoja na...
What I am seeing is the habit of few individuals aspiring to be baptized heroes for uncalculated utterances and writings, meanwhile paying to be feedbacks to funders. Aidan Eyakuze and Khalifa Said have just published in Springer, titling their writing 'The Weaponization of Identity and...
Utafiti wa Sauti za Wananchi, Awamu ya 27 wa Aprili 2018 umebaini 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani 2015.
Kukubalika huku kumepungua kutoka 96% mwaka 2016 na 71% mwaka 2017
Kiwango cha kukubalika kwa Rais kimeshuka kutoka kwenye rekodi ya juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.