aids

  1. FRANCIS DA DON

    UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

    Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha? - Magonjwa haya husababishwa na kushuka kwa kinga ya mwili (upungufu wa kinga mwilini), lakini unaweza kuyapata...
  2. Full charge

    Usalama wa US Aids ukoje katika nchi zetu?

    Sorry wakuu mimi mdogo wenu kuna muda najiwazia tu. Back to the point,Hivi hii misaada ya nchi za Magharibi inayokuja Afrika usalama wake ukoje? Hapa namaanisha:net,vifaa vya uzazi wa mpango,vyakula,dawa nk. Mfano net zao tunaambiwa zimetiwa sumu ya kuua mbu ila sijawahi kukuta mbu chini...
  3. harakati za siri

    HIV/ AIDS je hizi ni dalili za mwisho au Kuna tumaini bado?

    Habari madaktari wetu! Mgonjwa amepata uvimbe kwenye viungo (Swollen lymph nodes) Mitaani huwa kuna imani kuwa mgonjwa akishafikia hatua hiyo ndiyo dalili za mwisho za kufariki. Je ni kweli? au akikazana na dawa atakuwa sawa tena. Vijana kuweni makini Ukimwi upo kwa hakika, kuna watu...
  4. K

    Sonnabend Pediatric AIDS Foundation (SPAF)

    Habari za muda huu wakuu? Samahani bwana, hivi Kuna mtu yeyote anaufahamu mradi unaohusika na maswala ya Ukimwi unaosimamiwa na Sonnabend NGO? .. Wamemwaga ajira nyingi sana zenye mshahara mnono kuanzia Dola 2500 hadi 3500 kwa Mwezi. Sasa changamoto yake ni kwamba , Mimi nimeapply ila...
  5. D

    The state of aids and its stories (curse)

    intro: so siku za nyuma nimekutana na binti mmoja wa kiislam, age : 19. married, education : form 2. ana mimba pia anamuamini Sana mume wake , mume yupo late 20s, mfanyabiasha na pia ameajiliwa, kazi ina all benefits bima and everything. Mainstory Huyu mtu ana imani kubwa sana na mume wake...
  6. Artificial intelligence

    Conspiracy theory: CIA, Homosexual and AIDs

    CIA na AIDs Labda unajua virusi vya AIDS, lakini huenda usifahamu nadharia kwamba sio virusi vinavyotokea kwa kawaida, lakini kuna ukweli kwamba imetengenezwa na mwanadamu na kusambazwa na CIA. Inaaminika sana na kukubaliwa kuwa VVU ilianzia Afrika, kwamba ilianza kama virusi vya tumbili au...
  7. GENTAMYCINE

    Kama kuna Mtanzania mwenye Condoms asizozitumia au za akiba anipe niziwahishe Kenya zilikoadimika wasije 'Kuuana' kwa AIDS

    Taifa la Kenya kwa sasa linapitia Kipindi kigumu hasa kutokana na Kukumbwa na Uhaba mkubwa wa Mipira ya Kiume ( Condoms ) hali inayofanya Wakenya wafikirie mara mbili mbili linapokuja Suala la 'Kubanduana' huku wengine wakimalizia tu Haja ( Nyege ) zao kwa Kupiga Nyeto ( Punyeto ) kwa kwenda...
  8. Replica

    Marekani: Rais Samia akutana na CEO wa NGO ya Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa taasisi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na HIV hasa kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ya Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation, Charles Lyons. EGPAF iliasisiwa mwaka 1988 na taarifa za...
  9. britanicca

    US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

    US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive And those who supported aids will be reduced to 100%
  10. Sam Gidori

    Uganda kutumia ndege zisizo na rubani kusafirisha ARVs kwa wakazi wa Visiwa vya Ziwa Victoria

    Wakati chupa za dawa zikipakiwa katika ndege zisizokuwa na rubani kwa ajili ya kusafirishwa, kundi la watu limekusanyika kwa mbali kutazama ndege hiyo yenye upana wa mita 1.5 katika eneo la Kituo cha Afya cha Bufumira III, jimbo la Kalangala nchini Uganda. Mzigo huo wa dawa za kufubaza makali...
  11. Jamii Opportunities

    Job Opportunities at UDSM, MNMA, NHIF, TCAA, MNH, DUCE, TCCL & TCB

    THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/L/44 09 April, 2021 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of University of Dar es Salaam (UDSM), Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA), National Health Insurance Fund (NHIF), Tanzania...
  12. Tatenda Ngara

    An evaluation of the measures to reduce the impact of HIV/AIDS in Zimbabwe and report on the achievements made to date

    The impact of HIV/AIDS on individuals, communities and organisations is a major bone of resentment the world over. Human Capital Planning (HCP) focuses on helping managers set the direction for an organisation in regard to its future Human Resources needs but lamentably this is made difficult...
Back
Top Bottom