aina tatu

Segun Arinze (born Segun Padonou Aina in 1965) is a veteran Nigerian actor and singer.

View More On Wikipedia.org
  1. Rorscharch

    Aina Tatu za Wanaume Wanaoweza Kuwa na Mahusiano na Single Mothers

    Katika jamii yetu ya Kitanzania, suala la mahusiano linabeba uzito mkubwa, hasa linapohusiana na wanawake wanaolea watoto peke yao – single mothers. Ingawa mara nyingi mjadala huu huangaliwa kwa mtazamo wa kihisia, ni muhimu pia kuutazama kwa jicho la uhalisia wa maisha na mienendo ya mahusiano...
  2. Ronal Reagan

    Siri za Wazi: CHADEMA sio perfect kama vile CCM isivyo perfect

    Salaam! Nafurahi kuwaona tena wengi wenu mkiendelea kujadili na kuchambua mambo mengi – hasa siasa. Naendelea kuipongeza JF kwa kuendelea kuwa Jukwaa bora na huru kwa mambo ya kisiasa katika nchi yetu, licha ya changamoto nyingi ambazo imepitia. UTANGULIZI Kwanza kabisa nitambue uwepo wa...
  3. stabilityman

    Àina tatu za urefu wa mapaa hizi hapa wewe unachagua paa liende juu vipi

    Chagua Mwinuko unaopendeza kwenye Boma. yaan Standard nzuri ya kuvutia👇 _Sisi tunajua tuinue vip Paa ambayo ipo kwenye Bonde _Sisi tunajua tuinue vip paa ambayo lipo kwenye Mwiinuko/mlimani _Sisi tunajua tuinue vip paa ambaya ipo kwenye Ta mbarale _Na Pia kuzingati Barabara za mitaa kuwepa...
  4. BARD AI

    Toyota yaomba radhi kwa kudanganya kuhusu usalama wa baadhi ya Magari yake. Yasitisha utengenezaji Corolla Fielder, Corolla Axio na Yaris Cross

    Mwenyekiti wa Toyota, Akio Toyoda ameomba radhi leo Jumatatu kwa udanganyifu mkubwa katika majaribio ya uidhinishaji wa modeli saba za magari huku kampuni hiyo ikisimamisha utengenezaji wa matatu kati yake. Jaribio kubwa la ulaghai katika kampuni kubwa ya kutengeneza magari ya Japani...
Back
Top Bottom