1. Watu Majani
2. Watu Tawi
3. Watu Mizizi
WATU MAJANI:
Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu. Wanakuja kuchukua tu wanachotaka, lakini upepo ukija wataondoka. Unatakiwa kuwa makini na hawa watu maana wanakupenda mambo yakiwa sawa...