Habari wanajamvi,
Nimevamiwa na aina mpya ya Panya ambayo wanaitwa “Asia House Shrew” nimeambatanisha na picha hapo chini.
Hawa Panya nimegundua baadhi ya mambo kwao:
1. Wanasauti kama ndege
2. Wanatembea kwa Makundi
3. Wanazaliana kwa kiwango cha juu sana
4. Hawakai ndani ya nyumba...