aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Upo katika aina ipi ya mapenzi kati ya hizi?

    Kama vile tujuavyo ya kwamba hakuna maisha bila mahusiano ya mapenzi na Upendo ni Sheria ya asili ambayo ipo ndani ya Mwanadamu. Kuna aina mbalimbali za uhusiano wa mapenzi, na kila mmoja hutegemea hisia, matarajio, na namna watu wanavyohusiana. Hapa ni baadhi ya aina kuu za uhusiano wa...
  2. R

    Ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?

    Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea. Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
  3. M

    Kila nkifanya ubunifu mshindani wangu anaiga ,wote tuko na aina moja ya biashara vinywaji na vyakula

    Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
  4. Haya chukueni hii ikiwa bado mbichi na mbaki nayo, kwani kwa aina ya Mgeni Rasmi aliyeandaliwa kwa Mchezo ujao hakuna wa Kuthubutu Kugoma / Kumgomea

    Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
  5. L

    Car4Sale Anayeuza gari Aina ya alteza 4 cylinder Nina budget yangu ya 3.5 m

    Anaeuza gari Aina ya alteza 4 cylinder Nina budget yangu ya 3.5m
  6. Aina mbali mbali za uyoga

  7. Zifahamu aina na majina ya mabodi ya magari mbalimbali

    Je wewe huvutiwa na aina ipi? Mimi convertible
  8. Sidhani kama kulishakuwapo mwaka wowote na kusitokee vitu ya aina yoyote ile. Hii ina prove hapa duniani bila ya kuwa mbabe utanyongeka hadi mwisho

    Hio ndio asili ya mwanadamu. Mipaka imeundwa kwa mapigano. Mamlaka zimeundwa kwa nguvu. Jamii zime-survive kwa kujilinda kivita. Umashuhuri wa jamhuri umeundwa kwa ushindi dhidi ya mnyonge. Ila wewe umebaki tu kusema "haina noma, malipo ni hapa hapa duniani"
  9. Kongole kwa huyu mwanadada alieimba wimbo wa watu feki. Ana aina fulani hivi ya style yake ya kipekee na pia muziki wake ni very touching

    Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa" She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
  10. Sio kuhukumu au kunyanyapaa: aina ya wanawake ambao mwanaume inabidi awaepuke maana katika mahusiano probability ya mambo kwenda kombo ni kubwa

    Katika mahusiano, kuna mambo unayopaswa kuyatafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kudumu. Ingawa kila mtu ana historia yake, kuna mazingira ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mahusiano kwa kiasi kikubwa. Hapa ni baadhi ya mambo ya kuzingatia: 1. Single Mothers: Changamoto za Kuwa Kwenye...
  11. MSAADA : SIMU YANGU AINA YA SONY SO 41B HAIPANDISHI MTANDO WA INTERNET.

    Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi, Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe aliichezea mfumo wa setting hadi akawa ame backup hivyo kupelekea kila kitu kufutika. Nimejalibu kufanya...
  12. Ifahamu kwa kina gari aina ya cyber truck

    cyber truck ni gari la umeme la kisasa kutoka kwa kampuni ya Tesla, ambalo limekuwa na umaarufu mkubwa tangu lilipotangazwa. Gari hili linatambulika kwa muundo wake wa kipekee, nguvu zake, na teknolojia ya juu. Hapa chini ni baadhi ya sifa muhimu za Cybertruck: 1. Muundo wa Kipekee na Imara...
  13. Bangi ihalalishwe kuweza kutumika, Ila iruhusiwe aina hii tu, nasimama na Tuntemeke wa Iringa

    Miaka ya themanini huko iringa palikuwa na mbunge anaitwa Tuntameke Sanga. Mheshimiwa Tuntameke Sanga alipeleka mara kadhaa hoja mbungeni akiomba jimbo lake WANANCHI waruhusiwe kulima bangi. Sababu aliyoitoa ni kwamba katika Jimbo lake ni jadi tangu awali WANANCHI hutumia mbegu za bhangi kama...
  14. Kuna aina ngapi za passport za kusafiria hapa Tanzania?

  15. R

    Kioo cha gari aina ya NISSAN SERENA 1997 MODEL

    Naweza kupata wapi KIOO cha mbele (wind shield) kwa gari aina ya NISSAN Serena 1997. tufanye biashara mwenye nacho
  16. Aina mbalimbali za Madakitari

    Nimeona aina mbalimbali za madaktari kama ifuatavyo 👇 ila sijaona Doctor of Men
  17. Aina ya utawala sahihi unaokubalika na Mungu kuongoza watu ni upi?

    Utawala gani wa kisiasa wa kuongoza watu ambao ni sahihi unaotakiwa na Mungu kati ya Demokrasia na Udikteta kulingana na maelekezo ya dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu?
  18. Vigezo Gani vilitumika kuajili mwandishi wa aina hii?

    Yaani Kuna makosa ya kibinadamu ambayo binadamu huwa ni kawaida kukosea lakini kwa hapa nimeona huyu mwandishi hajaona kama amekosea kuandika ila ndivyo alivyoona ni sahihi hii sentensi ipangiliwe hivyo. Eti "sijui kama Kuna joto dar". Vijana tuache uvivu , hili ni kosa dogo lakini linaharibu...
  19. Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

    Habarini za saiz!? Kwa mtu anayefahamu kwa wilaya ya butiama ni zao gan la kilimo ambalo linalimwa katika maeneo hayo hasa zao kilimo la biashara !?
  20. Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

    Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote . Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa. Ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…