The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.
Salaam wakuu,
Kila mwaka wenzetu Zanzibar wamekuwa wakipata visa vya vifo kutokana na ulaji holela na usio makini wa KASA. Tukiendelea kuendekeza hili suala tutajikuta kila mwaka tunapoteza nguvu kazi nyingi tena za familia moja kutokana na ulaji wa huyu kiumbe.
Ni vyema mamlaka za Zanzibar...
1. Mtumiaji:
watakupenda tu kadri wanavyoweza kukutumia, lakini punde tu usipowapa tena kile wanachotaka kutoka kwako, walitoweka.
2. Walalamikaji:
Wataiba amani yako, furaha kwa kulalamika kuhusu jambo lile lile ambalo hawako tayari kubadilika bali wanataka ubadilike.
3.Walaumiwa...
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu
Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?
Vidume vya zamani vinaenda porini...
Tanzania fence factory:(0789020813) tupigie.
Tunatengeneza na kuuza fence wire aina zote na senyenge Kwa bei ya kiwandani.
2.0mm bei yake ni 55,000/=
2.5mm bei yake ni 75,000/=
2.5mm(kijani)bei yake=80,000/=
Fence wires zote ni mita 11.
Tupo Kinondoni mkwajuni dsm
Tunafanya delivery Kokote ulipo...
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.
App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.
Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Habarini,
"Marriage-diggers" ni aina flani ya wanawake ambao maamuzi yao ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yako dictated na umri wao.
Unaweza kuta mdada mzuri tu kimuonekano, ana miaka 28,29, au 30 yupo single hana mtoto, halafu anakushobokea kiaina, unamtongoza anakubali kirahisi...
Katika suala la maandamano kuna aina mbili maarufu za maandamano.
Moja maandamano ya amani haya pia unaweza kuyaita maandamano ya hisani au matembezi ya hisani .
Ni aina ya maandamano ambayo huhusisha njia za amani katika kukemea, kupongeza, kuunga mkono au kuonesha hisia kuhusu jambo fulani...
Hii itakuongezea maarifa, ukiota ujue nini ulichokiota, na maana yake, na namna utakavyoingia kwenye maombi juu ya hiyo ndoto.
1.WANYAMA:Kuota unakimbizwa na wanyama wakali inaasshiria mashambulizi ya kipepo,yaaani nguvu za giza zimejizatiti dhidi ya maish yako.
2. DAMU:Kuota/kuona damu...
Serpenti Sedutori (Nyoka atongozaye) ndio saa inayovuma saa hizi mtandaoni popote Tanzania na East Africa, gharama yake ikiwa ni dollar za kimarekani 44,200, takribani shilingi za kitanzania 110,500,000/= (millioni mia moja na kumi na laki tano)!
Soma zaidi hapa chini ili kujua imetengenezwa...
Nipo Kariakoo hapa dukani. Dada mmoja maskini akaingia kununua vitu, akamwomba muuza duka maji ya kunywa.
Mwenye duka akamwuliza, maji gani unataka? Pia unataka Maji ya rangi gani? Ee me ninayo maji yangu ila ya kuuza yameisha, maji nayotoa mimi bure kabisa.
Sasa dada wa watu akashangaa kwani...
Bila unafiki, ushambenga, uchawa na ukurung'unzu wowote. Nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa Samweli Sitta mzee wa viwango! Lakini kwa sasa nchi ipo mikono salama chini ya spika Tulia Ackson Mwansasu.
Huyu mtu sio tu ni spika bali tumepata...
Habari wanajukwaa nahitaji msaada wa kupata fan nzuri ambayo itadumu na inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa, awali nilipata dolphin model yake nimeisahau ila ni mwaka wa tano huu inafanya kazi vizuri na fan ni imara kabisa, sasa nahitaji kujua kwa sasa fan aina ipi ni nzuri na imara inapatikana...
Inaonyesha after five minutes inazima ghafla na kujiweka katika standby mode, naomba msaada shida ni nini?
Zoezi hili limekuwa endelevu, nikiizima wiki nzima inaweza onyesha vizuri kama Haina shida, nilimuita fundi ikamshinda, shida ni nini?
Naomba msaada nafahamu wanajamvi mnaweza nipa...
Poleni na majukumu wana fj, Ninashamba ekali 3 za hiyo miti ina umri wa mika 11 natafuta wateja wa bidhaaa hiyo shamba lipo maeneo ya mbeya kiwila kilometer 20 kutoka kiwila idadi ya miti ni zaidi ya miti 1000 karibuni wote wenye uitaji kwa mawasiliano nipigie namba 0629097093
Jimbo LA Wyoming nchini Marekani wamegundua madini ya aina ya rare earths. Haya madini ni ya kimkakati sana katika tasnia ya sayansi na technology.
Ugunduzi wa 2.3 billion tons unaifanya Marekani kuwa na reserve kubwa sana ya aina hii ya madini. Rare earth ni madini yanayotumika kwenye...
Habarini na poleni na majukumu
Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers
Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za kwanini mwanamke anakuwa single mother.
1. Baba mtoto kukataa mimba au mtoto. Kiukweli hakuna jambo...
Boxer bm150
Haina tatizo lolote unapiga starter unaondoka
Nzuri sana kwa wenye maduka makubwa ya jumla kwa ajili ya usambazaji
bei Tsh 680,000
0658643636 Mbezi Magufuli stand
Habari wana JF,
Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.