Wanajukwaa nawasalimu nyote, napenda kufahamu Kwa yeyote mwenye uzoefu na hizi trector aina ya LOVOL kw kuangalia utendaji KAZI wake, utumiaj was mafuta, kuvumilia mazingra magumu, kupambana na ardhi ngumu nk. Nahtaji kujua maana nmeona wanauza Kwa bei rafiki