Tuko mbali mikoa tofauti, hapa kisanga ndipo kinakuja. Anapenda kupiga piga simu mara kwa mara, sasa mara nyingi najikuta namkatiza ilee.. "Samahani ngoja nitakupigia baadae kidogo".
Kiukweli muda huo unakuta shughuli imenitinga na ukizingatia aina ya shughuli zangu haziruhusu sana kuongea kwa...