aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. MwanaFA nakubaliana na wewe; ila hapo mwishoni inategemea ni ndege wa aina gani na ana dhamira gani

    Kwanza natamani kujua mwana FA alimaanisha ndege gani? Ndege kiumbe au ndege usafiri? Kama ni ndege kiumbe basi tujue tu kwamba wapo aina za ndege ambao ni waharibifu na wana madhara kwa viumbe wengine. Hivyo ni wazi kabisa mbwa mkali yoyote atambwekea tu ndege huyo. Mbwa hawezi kunyamaza...
  2. Ukiwa Tajiri utaoa Mwanamke wa aina gani?

    Eti, utaoa Mwanamke wa aina gani na hutooa Mwanamke yupi? Weka vigezo vyako hapo chini Mkuu.
  3. Niliota nimefariki na baadae nikafufuka. Sijawahi kuota hivi na wala sikuwa na mawazo ya aina hii kabla ya kulala. Nisaidieni tafsri

    Wakuu jana niliota nimekufa hadi msiba wangu ulitokea na nilikuja kukufuka na wakabomoa jeneza kunitoa kabla ya sijazikwa Kuna maana yoyote hapa au ni muvi tu za usiku? Mshana Jr Da'Vinci
  4. Uimbaji wa aina hii sio sahihi ndani ya kanisa la kisabato.

    Nani aliyeanzisha huo uhuni wa kwaya kuimba kama wasanii wa bongo flavour na playback? Mchungaji Paul Semba yuko sahihi kukemea huo ushenzi. Hata katoliki mnaowasimanga hawawezi kufanya hiki kinachofanyika ndani ya SDA. Mkataeni shetani mapema kabla hajazidi kuharibu mambo...
  5. Kuna aina ya mahusiano ni muhimu ili maisha yaendelee

    Kuwa na mahusiano na Mwanamke ambaye anapatikana muda wowote pale anapohitajika ni kitu cha muhimu sana kwa sisi ambao bado tunapigania kombe na hatuna wake. Kuna jirani yangu alikuwa ananisaidia sana wakati wote sikuwahi kuiona value yake mpake pale alipohama mkoa kutokuwepo kwa huyu binti...
  6. Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  7. Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    TV yako haiwaki? TV yako inajizima? TV yako unasikia sauti huoni picha? TV yako inawaka nusu hazijazi kioo? TV yako imeingia giza upande mmoja? TV yako imeua taa? TV yako inarangi moja, njano, blue, nyekundu? TV yako inawaka taa nyekundu tu? TV yako haina sauti? TV yako inaonyesha mistali? TV...
  8. Tarehe 4 August, 2024 tutashuhudia Wapambaji wa aina Kuu tatu ambazo zinatamba Duniani

    1. Mpakwa Mafuta ( Masaki na Temeke Uwanja wa Uhuru ) 2. Bia Kijiti daima ( Sinza na Tandale ) 3. Maisha ya Matumaini ( Masaki, Kariakoo, Ilala na Buguruni ) Imeshaisha hiyo.......Kudadadeki.....!!
  9. J

    SOMO: NAMNA BORA YA CHANJO ZA KUKU CHOTARA

    1. Baada ya kuanguliwa , Chanjo ya Marek's na Dawa HVT, Namna: sindano 2. Siku ya 2 hadi 6 KINGA ya Pullorum, Dawa: Trimazine 30% plus Vitamin, Namna: Maji 3. Siku ya 7, Chanjo ya Mdondo/Kideri (Newcastle), Dawa: Newcastle vaccine [LASOTA] Namna: Maji 4. Siku ya 14, Chanjo ya Gumboro, Dawa...
  10. Nauza vifaa vya laptop tablets na desktop kwa bei ya jumla

    Wakuu naombeni mniungishe WA mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Hata pc moja nakupa bei ya jumla . ADAPTER,KEYBOARD, RAM, VIOO VYA LAPTOP, HDD, HDMI CABLES STAND ZA KISHUA,MOUSE ,PROTECTOR . CHARGER ORIGINAL ZA TABLETS NA SIMU
  11. Supercar kutoka BYD: YangWang U9 zinaanza kufanyiwa delivery hivi karibuni

    Kampuni ya kutengeneza magari kutoka China Build Your Dream (BYD) wametangaza kua wale wote waliolipia (nunua) supercar yao YangWang U9, wakae mkao wa kula, sio muda zinawafikia. Kama haitoshi, kila owner ataona expected delivery date aliyopangiwa katika official App ya YangWang na ikitokea...
  12. Mpira bongo ni kama imani za dini za manabii wa kisasa, hakuna kitu tofauti utawaambia watu wakakuelewa.

    Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini. Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira. Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
  13. Nina shida ya mawasiliano ya aina yoyote ya wasanii wafuatao

    Kufa tutakufa kikubwa kujiandaa ,Asalam aleykum wanajukwaa hiyo ni salamu kwenu. Tafadhali nina shida na namba za simu au mawasiliano ya aina yoyote kwa wasanii wafuatao nahitaji ikiwa unazo namba zao ,naomba usisite kunisaidia maana Kuna mahali wanahitajika sana. BONIPHACE MWAITEGE, BAHATI...
  14. Y

    Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
  15. Aina za wanawake ndoani

    Kuna mke, kuna muke, kuna mke mkeni, mke mke wenu, mke mke wao, mke mkeo, mke mke, kuna mke mkeka, mke mkemia, mke mkeketwa, mke mkimbizi, mke msindikizaji ,mke mdangaji,harafu kuna hii mke brilliant yaani mke baby sweet! Ni wachache hawa! Sijui upo wapi hapo!
  16. D

    Ukweli: Yanga haina Mwanasheria. Eng, Hersi akiendelea nao hawa huko mbele watamfelisha pakubwa

    Simon Patrick: Mwanasheria wa Klabu ya Michezo ya Vijana wa Yanga na mkurugenzi wa kisheria wa Klabu ya Michezo ya Yanga, maisha yake yanga. Kesi Ngumu Simon Patrick amekabiliana na kesi zenye changamoto kubwa. Kutoka kwa migogoro ya mikataba hadi masuala ya nidhamu, amekutana na yote hayo...
  17. Wafanyabiashara wa nguo za mitumba wagundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu

    Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini. Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani kutafuta nguo zilizotupwa na zilizoletwa na magari ya taka na hivyo kuchukua nguo hizo kwa kununua...
  18. Àina tatu za urefu wa mapaa hizi hapa wewe unachagua paa liende juu vipi

    Chagua Mwinuko unaopendeza kwenye Boma. yaan Standard nzuri ya kuvutia👇 _Sisi tunajua tuinue vip Paa ambayo ipo kwenye Bonde _Sisi tunajua tuinue vip paa ambayo lipo kwenye Mwiinuko/mlimani _Sisi tunajua tuinue vip paa ambaya ipo kwenye Ta mbarale _Na Pia kuzingati Barabara za mitaa kuwepa...
  19. Wakuu hili ni Jiwe la aina Gani ? nimeliokota

    Habari zenu, kwenye picha hapo chini ni Jiwe nimeliokota ila silijui aina yake kama unajua chochote kuhusu basi nifahamisheni.
  20. U

    Je Zakayo Mtoza ushuru wa kwenye Biblia alikuwa na ufupi wa aina gani? wa kawaida au wa mbilikimo ? alikuwa ameoa? alikuwa kabila gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Wenye elimu mtuelimishe zaidi kuhusu ndugu yetu huyo aliyepata umaarufu baada ya kubahatika kutembelewa na Bwana wetu Yesu Kristo nyumbani kwake. Karibuni tujifunze
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…