Wazee sina hiyana
Nashukuru kwa mirejesho n kukuwa kwa network. Siwez kuwaacha nyuma hata kidogo... Tuko pamoja
Raba hii hapo chini bei ya jumla ni elf 40 zinakaa pea 24, ukitaka kuanzia tano ni elf 48 na moja ni 55 tu.
Bei ya chimbo.
.
Ningelitaja hapa ila naona nitaharibu biashara za watu...