Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32
Naishi Dar es salaam
Nimemaliza form six
Nimesomea Air Ticketing
Nina experince ya zaidi ya miaka 5 kwe flight reservation
Nina experince ya miaka 2 kama receptionist kwenye 4 star hotel.
Kwasababu ya Corona kampuni niliyokuwa naifanyia kazi biashara imeyumba...