airbnb

Airbnb, Inc. ( AIR-BEE-en-BEE) is an American San Francisco-based company operating an online marketplace for short- and long-term homestays and experiences. The company acts as a broker and charges a commission from each booking. The company was founded in 2008 by Brian Chesky, Nathan Blecharczyk, and Joe Gebbia. Airbnb is a shortened version of its original name, AirBedandBreakfast.com. The company is credited with revolutionizing the tourism industry, while also having been the subject of intense criticism by residents of tourism hotspot cities like Barcelona and Venice for enabling an unaffordable increase in home rents, and for a lack of regulation.

View More On Wikipedia.org
  1. kikoozi

    MWENYE KUJUA APARTMENT / AIRBNB YA BEI RAHISI DAR ES SALAAM

    Habari ndugu zangu, kama kicha cha habari kinavyo sema hapo juu, nina ugeni wa mtu wangu ambaye atakaa kama siku 14 (week mbili), sasa nilitaka kupata aprtiment nzuri yenye kila kitu ndani WIFI ISIKOSEKANE (kuanzia maeneo ya kiluvya, kibamba, mbezi, goba, kimara, tabata, ubungo , sinza, mlimani...
  2. Chura

    Nahitaji apartment full furnished Airbnb kimtindo kwa siku kadhaa Dodoma

    Nadhan nimeeleweka wakali nisiwachoshe ntakua DODOMA kwa mda wa siku kadhaa almost wiki, anayehusika na mambo ya udalali wa kichwa cha habari, tafadhari tuwasiliane
  3. donlucchese

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu biashara ya nyumba (AirBnB)

    Habari wakuu, Straight to the point. Kuna ka kibanda kangu kamoja nilikajenga nikiwa nafanya kazi bagamoyo manispaa, ni ka jumba Ka vyumba viwili (vyote self), sebule, jiko na public washroom. NI takribani kilomita 5 kutoka Bagamoyo centre. Sasa baada ya kuhama mazingira hayo nikaona nitafute...
  4. aka2030

    Serikali inakusanya vipi kodi kwenye biashara kwenye app ya Airbnb?

    Hii biashara maarufu na pendwa kwa sasa Tz nauliza serikali yetu inakusanya vipi mapato
  5. aka2030

    Kati ya Dodoma na Arusha wapi pazuri kujenga apartment kwa ajili ya biashara ya Airbnb?

    Nauliza wadau wapi ni pazuri ambapo soko kwa sasa lipo. Kuna rafiki yangu yupo Canada ana wazo la kufanya hiyo biashara.
  6. Ricky Blair

    Airbnb za Bongo

    Mnaorentisha watu Airbnb Bongo 90% bora mfunge tu mfungue hostel. Hamjui kabisa how the online world works. Nimesafiri nchi chache zingine Africa but none nimekutana na ukuda wa Bongo. Jaman hii huduma ya kuwa online 24/7 Km huwezi ajiri mtu wa kuwa online at least before your place haijawa...
  7. R

    Wanawake wagundua kamera zilizofichwa bafuni katika nyumba ya kupangisha kwa muda (Airbnb)

    Marafiki hao 15 walipanga nyumba huyo kwa ajili mapumziko British Colombia, ndipo usiku mmoja wa mapumziko wao waligundua kulikuwa na camera zilizokuwa zimefichwa kwenye soketi ya umeme zikiwa zimeelekezwa bafuni. Mmoja wa marafiki hao aliona video kutoka mtandao wa Tiktok ikiongelea kuhusu...
Back
Top Bottom