Naibu Waziri wa Uchukuzi David kihenzile amesema kukamilika kwa jengo la abiria katika kiwanja cha ndege cha Arusha kutawezesha abiria takribani laki nne kuhudumiwa kupitia Kiwanja hicho kwa mwaka.
Kihenzile ameyasema hayo baada ya kukagua maendeeleo ya mradi wa jengo la abiria katika kiwanjani...