airport hakuna maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini yatoa ufafanuzi maji kukosekana vyooni, wasema mchukua video hakufungua bomba vizuri

    Tanzania Airports Authority Katika mitandao ya kijamii kunasambaa taarifa katika picha mjongeo kuhusu kukosekana kwa huduma yam aji katika maliwato iliyochapishwa tarehe 24 Julai, 2024 na abiria Dudubaya na Bushoke. Abiria hao walikuwa wanasafiri na ndege ya shirika la ndege ya Kenya Airways...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    KERO Julius Kambarage Nyerere International Aiport vyooni hakuna Maji Aibu sana nchi yetu

    Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona maji hakuna katika vyoo ni kitendo cha aibu sana kwa nchi yetu inayo tegemea sana Bishara ya Utalii na...
Back
Top Bottom