Huko Kivu kusini, mwashariki mwa DRC, mpaka sasa, safari ya M23, inaelekea Bukavu mjini. Ni baada ya kuipokonya FARDC,Wazalendo,South Africa na Burundi uwanja wa ndege wa Kavumu.
Kwa hali isiyo ya kawaida, raia wengi wanaonekana kutoshitukia kukimbia makazi yao, huku wanajeshi...