Hello bosses, hv karibuni nimeanza kutumia AirTM kupokea malipo mbalimbali kutoka nje ya Tanzania sababu niliona wanasupport withdraw methods nyingi za Kitanzania ikiwemo banks na mitandao ya simu.
Lakini changamoto ni kwamba withdraw requests zangu zote zinafail kutokana na kuchukua muda mref...