aisha masaka

Aisha Masaka (born 10 November 2003) is a Tanzanian footballer who plays as a forward or a winger for Women's Super League club Brighton & Hove Albion and the Tanzania women's national team.

View More On Wikipedia.org
  1. uhurumoja

    Nilikuwa na ham ya kusikiliza interview ya Aisha Masaka

    Iko crown namna anaongea nimeishia kati Ila ndio mchezaji wa kike nae mkubali sana na namtakia Kila la kheri kwenye mpira
  2. Manyanza

    Aisha Masaka asajiliwa na Club ya Brighton&Hove Albion ya Wanawake

    Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) Aisha Masaka amejiunga na klabu ya Brighton&Hove Albion Ya Wanawake ya pale Ligi Kuu Ya Uingereza Aisha mwenye umri wa miaka 20 amejiunga na Brighton akitokea katika klabu ya BF HACKEN ya nchini Sweden. Statement from Brighton &...
Back
Top Bottom