Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) Aisha Masaka amejiunga na klabu ya Brighton&Hove Albion Ya Wanawake ya pale Ligi Kuu Ya Uingereza
Aisha mwenye umri wa miaka 20 amejiunga na Brighton akitokea katika klabu ya BF HACKEN ya nchini Sweden.
Statement from Brighton &...