BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo...
Ni ajali kubwa sana kwa takribani miaka 10 haijawahi kutokea ajali kama hii ambapo watu kadhaa wanadiwa kufa nita update taarifa, baada ya kufika hospitalini
Ni basi la kampuni Kabco ambayo hufanya safari zake kati ya kigoma na bukoba
Inadaiwa sababu mwendo kasi na dereva kushindwa kulimudu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.