ajali lori songwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Video: Lori la mafuta lapata ajali Songwe. Wananchi hawajifunzi, wahangaika kujichotea mafuta ya bure

    Wakuu, Kwenye hii video huyu ni dereva wa hili lori akirekodi tukio zima kwa ajili ya kumuonesha bosi wake. Ni hasara. Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kuna watu wanachota mafuta hapo wakisahau kabisa kuwa hilo gari likilipuka ni hatari sana kwao. Watu wana confidence sana kwa kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…