ajali mbeya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naibu Waziri Mahundi awatembelea majeruhi wa ajali Mbeya, apongeza huduma za Hospitali

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amewatembelea majeruhi wa ajali iliyohusisha basi la CRN na Gari la miundombinu ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya iliyosababisha vifo vya watu wanne na majeruhi watano. Miongoni mwa majeruhi waliotembelewa...
  2. Tukio la kusikitisha lilitokea Mbeya ambapo muaandishi wa habari wa kujitegemea alifariki papo hapo

    Jana, Februari 25, 2025, tukio la kusikitisha lilitokea wilayani Mbeya ambapo waandishi wa habari wa kujitegemea walifariki papo hapo baada ya gari la serikali walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la Kampuni ya CRN. Tukio hili limeibua maswali mengi kuhusu usalama wa waandishi...
  3. Mwandishi wa Habari Furaha Simchimba na Wengine Wawili Wafariki Katika Ajali Mbeya

    Watu watatu wamefariki dunia akiwamo mwandishi wa habari wa kujitegemea mkoani Mbeya, Furaha Simchimba katika ajali iliyotokea mkoani humo ikihusisha basi la Kampuni ya CRN na gari la Serikali. Ajali hiyo imetokea leo Jumanne Februari 25, 2025 katika eneo la Shamwengo wilayani Mbeya ambapo...
  4. Mbeya: Watu watatu Wafariki na wengine tisa wajeruhiwa katika ajali ya gari na bajaji

    Watu kadhaa ambao idadi na majina yao hayajajulikana wanahofiwa kufariki dunia baada ya ajali iliyohusisha magari matano, bajaji nne na pikipiki moja eneo la Mbembela jijini Mbeya. Ajali hiyo imetokea leo Novemba 27, 2024 ambapo mpaka sasa vyombo vya ulinzi na usalama na uokozi tayari vimefika...
  5. W

    Chanzo cha Ajali Mbeya kilisababishwa na Uzembe wa dereva kushindwa kumudu gari kwenye Mteremko

    Jeshi la Polisi limesema ajali iliyotokea Mbeya Septemba 6, 2024 ilisababishwa na uzembe wa Dereva, Hamduni Nassoro Salum (37) kushindwa kulimudu Gari lake kwenye eneo lenye mteremko na kona kali kutokana na Uchunguzi wa awali uliofanyika Kulingana na ripoti ya polisi iliyotolewa Septemba 6...
  6. Uchambuzi: Ripoti ya Ajali za Barabarani katika Mkoa wa Mbeya, RPC aondolewe haraka

    Katika mkoa wa Mbeya, kumekuwa na ongezeko la vifo vinavyotokana na ajali za barabarani. Hali hii imekuwa ya kusikitisha na inahitaji hatua za haraka ili kuokoa maisha ya wananchi. Katika ripoti hii, tunachambua sababu za ajali, athari zake, na mapendekezo ya jinsi ya kuboresha usalama...
  7. ๐—๐—ฒ, ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ถ ๐—ฎ๐˜€๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ง๐—ฅ๐—”?

    Jana tumepoteza watu 14 katika ajali iliyohusisha roli na magari mengine likiwemo basi la abiria mteremko wa Simike Mbeya. Kinachonisikitisha ni kwamba eneo hili lina askari wa usalama barabarani ambao badala ya kuongoza magari kutokana na hatari ya eneo hilo wao muda wote wako busy kukagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ