Uganda imegubikwa na huzuni kufuatia tukio la kusikitisha lililoripotiwa kuhusisha familia moja kupoteza maisha kwa namna ya kuhuzunisha.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, watoto watatu wa mwanamke mmoja walikuwa miongoni mwa wanafunzi waliokwenda kwenye ziara ya kielimu (excursion) kwa...