ajali ya moto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    Pre GE2025 Halmashauri ya Nachingwea yakabidhi Mifuko 91 ya Saruji kwa Mfiwa wa ajali ya Moto

    Ofisi ya mkurugenzi halmshauri ya wilaya ya Nachingwea februari 26,2025 imekabidhi mifuko ya saruji ipatayo 91 kwa Zuhura Mshana aliyepoteza watoto wawili na wajukuu wawili katika ajali ya moto iliyotokea febuari 15 mwaka huu wilayani Nachingwea mkoa Lindi. Akikabidhi saruji hiyo kaimu...
  2. Dr am 4 real PhD

    Jengo la TRA Mnazi Mmoja laungua moto

    Jengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu ============== Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo - Dar es salaam.
  3. Cute Wife

    Pre GE2025 Arusha: Gambo asaidia malazi kwa manusura wa ajali ya moto

    Wakuu, Unatoa msaada ukiwa umevaa shati ya mama mitano tena :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ===== Zaidi ya wananchi 15 katika Kata ya Unga Limited mkoani Arusha, wamelazimika kulala nje kwa zaidi ya siku 10 baada ya moto uliotajwa kusababishwa na shoti ya umeme kuteketeza...
  4. Abdul Said Naumanga

    TBT: Ajali ya moto Morogoro (2019), ni lipi la kujifunza?

    Kwenye tarehe 10 Agosti 2019, Tanzania ilikumbwa na tukio la kusikitisha na kutisha ambalo limebaki kuwa kumbukumbu mbaya kwa wengi. Ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro, karibu na eneo la Msamvu, ilihusisha lori la mafuta lililopinduka na kulipuka, na kupelekea vifo vya watu zaidi ya 100...
  5. Black Butterfly

    Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni

    Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24, 2024 kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
  6. BARD AI

    Watanzania 5 waripotiwa kufariki kwenye ajali ya Moto Afrika Kusini

    Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini. Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg...
  7. Full 8

    SoC03 Tumejifunza nini katika majanga yaliyotupata?

    Nchi yetu inakumbwa na majanga mbalimbali kila mwaka. Majanga haya yanaweza kuwa ya asili au yasiyo ya asili (artificial). Ukipitia vyombo mbalimbali vya habari kama televisheni, redio au magazeti si ajabu ukakutana na vichwa vya habari vinavyosomeka hivi: “.. watano wamefariki kutokana na...
  8. Chachu Ombara

    Shinyanga: Bweni la Shule ya Msingi Buhangija lateketea kwa moto na kuua wanafunzi watatu

    Wanafunzi watatu wa shule ya msingi Buhangija na kituo cha elimu maalumu Buhangija Manispaa ya Shinyanga wamepoteza maisha, baada ya bweni la wasichana walilokuwa wamelala kuungua moto usiku wa kuamkia leo huku wengine wakinusurika baada ya kuokolewa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  9. Idugunde

    Watoto wanne wa familia moja wafariki kwa ajali ya moto

    Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa 6:30 usiku wa kuamkia leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika makazi ya watu yaliyopo ndani ya eneo la mgodi wa Mwadui, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...
  10. Sildenafil Citrate

    Kilimanjaro: Moto wateketeza Mabweni matatu ya wanafunzi

    Wanafunzi zaidi ya 100 katika shule ya sekondari Nyerere iliyopo Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro watalazimika kulala madarasani baada ya mabweni yao kuteketea kwa moto ambao chanzo chake hakijajulikana bado. Kufuatia kutokea kwa ajili hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameuagiza...
  11. JanguKamaJangu

    Watu 27 wafariki kwa ajali ya moto India

    Watu 27 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya moto kutokea katika jengo lenye ghorofa nne Jijini Delhi Nchini India, Polisi wamesema kulikuwa na watu zaidi ya 70 katika jengo hilo Zaidi ya mashine 20 zilitumika kupambana kuuzima moto huo, ambapo watu wawili wanashikiliwa na mamlaka...
  12. beth

    Cameroon: Ajali ya moto klabuni yaua takriban watu 16

    Serikali Nchini Cameroon imesema takriban watu 16 wamefariki dunia kwenye Klabu iliyopo Mji Mkuu wa Taifa hilo, Yaounde kufuatia ajali ya moto iliyosababishwa na fataki Kwa Mujibu wa Wizara ya Habari na Mawasiliano, Ripoti ya Awali inaonesha ajali imesababishwa na milipuko ya fataki ambazo mara...
  13. Restless Hustler

    Songea: Makanisa mawili yateketezwa kwa moto

    Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika Kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi. Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church...
Back
Top Bottom