Watu 11 wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa baada ya lori lililokuwa limebeba saruji kufeli breki na kugonga Watu waliokuwa wakishangaa ajali ya gari dogo aina ya Tata katika Kijiji cha Changombe, Kata ya Segera, Wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda...