Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo.
Chanzo: East Africa...
Abiria wengi kwenye bodaboda wanataka waangalie kila hatua la tairi la mbele la pikipiki linapopita, anataka aone mbele kuliko hata dereva.
Na ikiwa haoni vzuri upande huu anageuza shingo upande wa pili,hii inaperekea wakati mwingine kumyumbisha dereva kwasababu wakati mwingine mko sehemu finyu...
Nimepoteza mtu naye mfahamu leo huko Mwanza na mtumishi ambaye bado tunamuhitaji.
Yote haya kila siku tukizidi kupoteza ndugu zetu na wengine kuwa walemavu wa maisha sababu ya hizi pikipiki.
Serikali hakuna mazingira mazuri ambayo yamempa mwendesha chombo cha pikipiki husasani hawa bodaboda...
Ramadhan Ng’azi Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani alisema hayo kwenye redio ya Crown FM.
“Tuliporuhusu bodaboda kuwa usafiri wa kubeba abiria tulikosea, utaratibu uliotumika haukuwa sahihi ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo sasa, madereva".
Je, kama vyombo vya polisi na idara zenu...
Sina mambo mengi
Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule.
Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea.
Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
Dar es Salaam. Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imekiri kupokea majeruhi wa ajali za bodaboda wastani wa watu 9 hadi 10 kwa siku ambapo ni sawa na 70 kwa wiki na 280 kwa mwezi.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam kwenye mafunzo ya kimataifa ya matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.