Menai ni jina la mlango bahari uliopo katika bahari ya nchi ya Wales.Eneo hilo la mlango bahari limewahi kukumbwa na ajali nyingi za meli lakini hizi ajali tatu zimeandika historia ya kipekee.
Ilikuwa hivi:-
Desemba 5, 1664 meli ilizama katika mlango wa bahari wa Menai ikiwa na watu 81,karibu...