ajali za ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Ni jambo ka kushukuru Mungu ndege zilizonunuliwa kipindi cha Hayati Magufuli hazijawahi kupata ajali

    Haters wa utawala wa hayati Nagufuli wakiongozwa na mimi hatuamini kuwa mpaka leo zile bombadier hakuna iliyopata ajali. Manunuzi yake yakionekana kujaa mihemko,tulitarajia misiba ila Mungu ni mwema
  2. Ghost MVP

    Ajali za ndege zilizotokea hivi karibuni zikihusisha watu Mashuhuri na Viongozi Duniani zinatokana na Maslahi ya Kisiasa?

    Hivi karibu kumekuwa na Ajali nyingi za ndege ambazo zimechukua uhai wa watu wakubwa Duniani, imefika mahala jamii inatilia Shaka Uhalisia wa ajali hizi hasa kwa viongozi fulani. Tujikumbushe Kidogo baadhi ya Viongozi waliofariki katika ajali Hizi za ndege katika maeneo Tofauti. 1. Yevgeny...
Back
Top Bottom