Watu 9 wamejeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari 3 madogo kugongwa na lori aina ya Scania namba T.673 AXB lenye trela namba T.464 AWZ lililokuwa na shehena ya mahindi, likitokea Arusha kwenda Namanga ambapo majeruhi wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru kwa...